• image2.png
  • picture 005.jpg

News & Updates

NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2019, KATIKA SHULE YA MT. PIO

 

SHULE INAWAKARIBISHA WAZAZI  WOTE KUWALETA WATOTO WENU WANAOTARAJIA KUANZA KIDATO CHA KWANZA 2019, KWA AJILI YA USAILI, USAILI UTAFANYIKA TAREHE 22/09/2018 SAA 2:00 ASUBUHI.  HIVYO WAHI MAPEMA KABLA YA FOMU HAZIJAISHA.

 

KUHUSU SHULE YA MT. PIO

SHULE NI YA MCHANGANYIKO NA NI YA BWENI TU. SHULE IPO KATIKA MJI MDOGO WA KIBAIGWA BARABARA YA DAR ES SALAAM.  INATOA ELIMU KWA KIDATO CHA KWANZA HADI CHA NNE, NA SHULE INAMILIKIWA NA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA

 

NIDHAMU:

SHULE INASIMAMIA NIDHAMU, MALEZI NA TAALUMA BORA, KWANI NIDHAMU NDIYO CHANZO CHA MAENDELEO.

 

TAALUMA:

SHULE INAFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA MITIHANI YA KIKANDA NA KITAIFA

 

GHARAMA NA UPATIKANAJI WA FOMU:

FOMU ZINAPATIKANA MAENEO YAFUATAYO KWA GHARAMA YA SHILINGI ELFU ISHIRINI TU (20,000/=)

 

1. FOMU ZINAPATIKANA HAPA SHULENI

2. OFISI ZA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA

3. REDIO MWANGAZA

4. KITUO CHA MSIMBAZI CENTRE DAR ES SALAAM

 

KWA MAWASILIANO ZAIDI:

0768 872345/0786 712550/0752 140545/0762 930083

KNOWLEDGE & OPPORTUNITY

Go to top